enock yusto
JF-Expert Member
- May 28, 2014
- 377
- 342
Elimu yetu inaelekea shimoni.Habari zenu wadau poleni na mihangaiko. Nina laptop yangu ya Dell core 2,ram 2gb, hdd 320 iko slow sana na bado sijaiwekea vitu vingi space ambayo Tyr nimetumia mpka Sasa hivi haijafika gb50.nimeshauriwa na wataalamu inchangé ram niweke at least four gb vp ndugu itaweza kunisaidia kweli au kuna njia nyingine naweza tumia badala ya hiyo ?
Nakaribisha maoni yenu wadau niweze kutatua tatzo langue.
Kwa nn unasema hvyo mkuuElimu yetu inaelekea shimoni.
Sijaandika raptop laptop computer mpakatoraptop ndo nini?! au mziki mpya wa daras
Kama una la kunishauri nishauri sio kujifanya unakosoa kumbe unaandika makosaraptop ndo nini?! au mziki mpya wa daras
Unajua nini au umeelewa nn kwa nilichoandika apo juu na spécification zake then jipime ulichojibu kinaendana na ww maana hili jukwaa sio la kuchangia hovyoraptop me siiijui labda version mpya ya simu
peleka kwa wahusika wakuu wa kazi hizo mkuu kwani ndo litakuwa suluhisho sahihi,Kama una la kunishauri nishauri sio kujifanya unakosoa kumbe unaandika makosa
Ahsante mkuu kwa mchango wakopeleka kwa wahusika wakuu wa kazi hizo mkuu kwani ndo litakuwa suluhisho sahihi,
pia ni kweli kabisa kuwa km PC ina run slowly labda RAM ni tatizo ila siyo ku slow kwa PC tatizo ni RAM.
Shukrani sanaAhsante mkuu kwa mchango wako