Nisaidieni naanzaje kuomba vyuo. Naona TCU hakuna link kama zamani na dogo hajafanya application! Au tunaomba kutokea vyuoni? Vyuo unavipataje
asante sana tena sana. Huyu dogo ana PCB = D D C nimfanyeje kwa SUA, UDSM. Kozi za afya haziwezekani maana C ya chemistry imeharibu kila kitu.Ni vyuoni moja kwa moja mkuu kama walivyoeleza wadau hapo juu. Ila kwa upande wa UDOM bado kuna changamoto kidogo kwenye upande wa malipo (wanachelewa kuyatambua malipo na huvyo kukuchelewesha kuendelea na hatua za mbele za maombi baada ya hatua ya malipo)
UDSM hawahitaji kiambatanisho (attachment) chochote, UDOM wanataka cheti cha kuzaliwa, SUA hawataki kiambatanisho chochote (isipokuwa kama mtahiniwa alirudia mtihani wa form four mara mbili au zaidi), Muhimbili wanataka cheti cha kuzaliwa, cha kidato cha nne na kidato cha sita (if any).
Gharama za kutuma maombi kwa vyuo vya serikali ni elfu kumi na zinalipwa kwa njia ya benki au mitandao ya simu hasa M-Pesa na Tigo Pesa (maelekezo ya namna kulipa yanatolewa hukohuko kwenye hizo "admission portals").
Kwa kuanzia hayo ndio ya msingi.
Nilikukataza kuleta sredi kama hizi husikiiNisaidieni naanzaje kuomba vyuo. Naona TCU hakuna link kama zamani na dogo hajafanya application! Au tunaomba kutokea vyuoni? Vyuo unavipataje
asante sana tena sana. Huyu dogo ana PCB = D D C nimfanyeje kwa SUA, UDSM. Kozi za afya haziwezekani maana C ya chemistry imeharibu kila kitu.
BRAZA NIPE TARATIBU ZA KU-APPLY SUA MAANA NIMEISHIA NJIA KWENYE KU-LOGINNi vyuoni moja kwa moja mkuu kama walivyoeleza wadau hapo juu. Ila kwa upande wa UDOM bado kuna changamoto kidogo kwenye upande wa malipo (wanachelewa kuyatambua malipo na huvyo kukuchelewesha kuendelea na hatua za mbele za maombi baada ya hatua ya malipo)
UDSM hawahitaji kiambatanisho (attachment) chochote, UDOM wanataka cheti cha kuzaliwa, SUA hawataki kiambatanisho chochote (isipokuwa kama mtahiniwa alirudia mtihani wa form four mara mbili au zaidi), Muhimbili wanataka cheti cha kuzaliwa, cha kidato cha nne na kidato cha sita (if any).
Gharama za kutuma maombi kwa vyuo vya serikali ni elfu kumi na zinalipwa kwa njia ya benki au mitandao ya simu hasa M-Pesa na Tigo Pesa (maelekezo ya namna kulipa yanatolewa hukohuko kwenye hizo "admission portals").
Kwa kuanzia hayo ndio ya msingi.
Wajuzi wa hizi vitu msaaidieni huyu jamaaa..Wakuu nipo hapa kwenye portal ya SUA nashindwa kupata hiyo namba yao ya malipo naipataje ili nilipe kwa mpesa?
BRAZA NIPE TARATIBU ZA KU-APPLY SUA MAANA NIMEISHIA NJIA KWENYE KU-LOGIN
yes nime-register password walizonipa niziweka wanaandika invailed username and passwordUmesha register ? Maana hauwezi Ku log in bila Ku register.
Ukisha register unapewa namba ya kumbukumbu ya malipo ambapo ukishalipa na wao wakayatambua malipo yako hapo unaweza Ku log in na ukaendelea na application.
kumbikimbu namba wanatuma pamoja na sms ya username and password au n vp ?Umesha register ? Maana hauwezi Ku log in bila Ku register.
Ukisha register unapewa namba ya kumbukumbu ya malipo ambapo ukishalipa na wao wakayatambua malipo yako hapo unaweza Ku log in na ukaendelea na application.
sorry mkuu iyo namba yao ya malipo ipo wapiUmesha register ? Maana hauwezi Ku log in bila Ku register.
Ukisha register unapewa namba ya kumbukumbu ya malipo ambapo ukishalipa na wao wakayatambua malipo yako hapo unaweza Ku log in na ukaendelea na application.
Nijibu kwanza kama umeshafanya ulicho ki quote hapo juu.sorry mkuu iyo namba yao ya malipo ipo wapi