Mkuu kuna app moja inaitwa mobdro ni nzuri ina channels nyingi sana za sports ikiwemo skysports 1-5 etc. Ukiweza kuidownload hiyo ni kifurushi chako tu...ina global prominent TV stations karibu zote isipokuwa sijaona local hata moja ila za Kenya kuna mbili citizens na k24 kama sikoseiNi naomba msaada jinsi ya kuangalia Mechi ya UEFA kupitia smartphone tafadhari
kaka embu naomba unifahamishe uweiwekaje kwenye PC? mi nimehangaika had nimechokaMobdro ni mwisho, nimeinstall kwenye PC hata lidstv lao silitaki tena