Msaada wa kuandika CV

Msaada wa kuandika CV

AG.6851

Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
97
Reaction score
87
Habari wana JF

Miongoni mwa mambo yanayotukosesha ajira baadhi yetu ni kushindwa kuandika CV. Sasa basi hebu mwenye uwezo huo wa kuiandika ikiwa na vitu vyote muhimu aweke humu tufaidike sote.

Itakuwa faraja Sana kama utatoa msaada wako ili kuwakwamua walioshindwa.

Aidha kama unayo Unaweza pia kunitumia kwa WhatsApp Namba 0763769886.

Ahsante Sana!!!

Nakupenda Sana Mama Yangu
 
Habari wana JF

Miongoni mwa mambo yanayotukosesha ajira baadhi yetu ni kushindwa kuandika CV. Sasa basi hebu mwenye uwezo huo wa kuiandika ikiwa na vitu vyote muhimu aweke humu tufaidike sote.

Itakuwa faaja Sana kama utatoa msaada wako ili kuwakwamua walioshindwa.

Aidha kama unayo Unaweza pia kunitumia kwa WhatsApp Namba 0763769886.

Ahsante Sana!!!

Nakupenda Sana Mama Yangu

Ndugu yangu, wewe unakiwango cha elimu? kama una shahada itakuwa ni kitu cha ajabu sana kutokujua kuandika CV yako, ingia kwenye mtandao utaipata.
 
ni vyema kumshauli co kublame t nakkejeli msaidie tu kama unajua bt worry nt nchek0657867283 wasap ntaksaidia
 
Habari wana JF

Miongoni mwa mambo yanayotukosesha ajira baadhi yetu ni kushindwa kuandika CV. Sasa basi hebu mwenye uwezo huo wa kuiandika ikiwa na vitu vyote muhimu aweke humu tufaidike sote.

Itakuwa faraja Sana kama utatoa msaada wako ili kuwakwamua walioshindwa.

Aidha kama unayo Unaweza pia kunitumia kwa WhatsApp Namba 0763769886.

Ahsante Sana!!!

Nakupenda Sana Mama Yangu
Mazingatio juu ya uandishi wa CV
 
POLE SANA MKUU

CHUO ULICHOSOMA 'BUSINESS COMMUNICATION' NI COURSE YA HIYARI?

A LEVEL HATA GS ULIPUUZA?

HATA MITANDAO MBALIMBALI INAKUPITA? POLE
 
POLE SANA MKUU

CHUO ULICHOSOMA 'BUSINESS COMMUNICATION' NI COURSE YA HIYARI?

A LEVEL HATA GS ULIPUUZA?

HATA MITANDAO MBALIMBALI INAKUPITA? POLE
Sio kila degree wanasoma "business communication"!! binafsi alevo wala chuo kikuu sijafundishwa kuandika CV, Nimejifunza mwenyewe!!
 
b3f985ba5e31b4e0559cbd4507edd8ae.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A: PERSONAL INFORMATION

Full name: John Mussa Isack

Date of birth: 08th March, 1915

Gender: Male

Marital status: Single

Nationality: Tanzanian

Mobile: +255 (0) 758 200 300

E-Mail: johnmussa@gmail.com

Address: John Isack

P. O. BOX 1254 Tabora, Tanzania.

I. ACADEMIC AND PROFESSIONAL QUALIFICATIONS

2012-2016: Twende pamoja University

Awarded: Bachelor of Science in Education,

i. Advanced Level Education (High Secondary School)

Name of School: Tanga Boys Secondary School

Duration: 2 years (2008-2011)

Major: Economics, Geography, Mathematics

Awarded: Advanced Certificate of Secondary Education Examination

ii. Ordinary Level Education

Name of School: Ujamaa Secondary School

Duration: 4years (2005-2008)

Awarded: Certificate of Secondary Education Examination

iii. Primary Level Education

Name of School: Umoja Primary School

Duration: 7years (1998-2004)

Awarded: Certificate of Primary Education

II. LANGUAGES

Fluent in both Kiswahili and English at satisfactory levels of speaking and writing.

Wengine Mtaongezea mengine
 
Sio kila degree wanasoma "business communication"!! binafsi alevo wala chuo kikuu sijafundishwa kuandika CV, Nimejifunza mwenyewe!!

Wakat wanafundishwa wenzio hayo Masomo Wewe ulikuwa Vibanda umiza unakamuanTwisheni Eti Core subject
 
Back
Top Bottom