Msaada wa kuactivate windows 10

At Calvary

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
4,513
3,554
Poleni majukumu ya maisha wakuu.

Kama kichwa kinavyosema, shida yangu ningepeda kujua ni madhara gani ya kutumia windows ambayo haijawa activated. au Kuna madhara gani kutumia windows ambayo haiko activated?

Kama picha inavyoonyesha kwa apa chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna baadhi ya features kwenye windows utazikosa ama hazitofanya kazi...na kama unataka kuiactivate, download software inaitwa KMSPICO, hii huactivate windows pamoja na MS Office kwa ujumla.
 
Kuna baadhi ya features kwenye windows utazikosa ama hazitofanya kazi...na kama unataka kuiactivate, download software inaitwa KMSPICO, hii huactivate windows pamoja na MS Office kwa ujumla.
Akhsante mkuu,
 
Samahani ni website gani ambayo ni sahihi kudownloadia,?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…