Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,695
- 1,771
Nilijua Upo Dar But Ni Simple Tuu Hii Ya Kwangu Ni Smart Bomba But Now Natumia Line Zote Ku Unlock Tafuta Fundi Simu Aliyekaribu Upande wa Software Ukimpa Hata 10000 Atakufanyia Hiyo Unlock
Mtafute Huyu Jamaa Hapa Atakusaidia 0712842283
Ahsante sana.. Deal doneKama una pc fanya yafuatayo .
Maandalizi
*usb cable
*cracks ya nck mtk android full no hwid
*drivers (All mtk usb drivers versions: 1:0:1
*android cdc drivers .
NOTE:HAKIKISHA UNAUJUZI WA KUFANYA INSTALLATION YA DRIVER'S ...
Kama una utaalam fanya installation baada ya hapo ndo utafute crack ya nck ukiipata fungua hiyo crack mara ya kwanza itafunguka kwa kuandika (GSM OK) PIGA KWENYE OKY BAADA YA HAPO ITALETA BOX LA NCK MTK ANDROID NO HWID AMBAYO NI CRACK UKIANGALIA KWA NDANI KUNA MAANDISHI YANATEMBEA SASA BOFYA HAPO KWA MARA MBILI ,THEN ITAFUNGUNGA MPK ITALETA MAIN "unlocking" service n.k shida yako kuunlock haya sasa kuunlock simu yako kwa kubofya unlocking then chagua cpu ya simu yako ambayo vf 301 ni 6580 baada ya kuchakua zima simu yako ,toa laini zote ,hakikisha unaizima baada ya hapo kuna sehemu imeandikwa direct unlock haya CLICK hapo !! Ukimaliza italeta maelezo mwisho kabisa italeta maneno yafuatayo PLEASE INSERT USB CABLE !! haya sasa chomeka simu yako chap kwenye computer simu itajiunlock within 5 minutes na kuwaka ,baada ya hapo test laini yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulifanikiwa?
Ok
Habari wakuu..
Naomba msaada kwa anayejua namna ya Ku unlock Vodafone 301 ili iweze kutumia line zote.
Hii simu ni ya line mbili lakini cha ajabu sehemu zote za line zinataka line ya voda tu.
Msaada tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
asante mkuu ngoja nijaribuKama una pc fanya yafuatayo .
Maandalizi
*usb cable
*cracks ya nck mtk android full no hwid
*drivers (All mtk usb drivers versions: 1:0:1
*android cdc drivers .
NOTE:HAKIKISHA UNAUJUZI WA KUFANYA INSTALLATION YA DRIVER'S ...
Kama una utaalam fanya installation baada ya hapo ndo utafute crack ya nck ukiipata fungua hiyo crack mara ya kwanza itafunguka kwa kuandika (GSM OK) PIGA KWENYE OKY BAADA YA HAPO ITALETA BOX LA NCK MTK ANDROID NO HWID AMBAYO NI CRACK UKIANGALIA KWA NDANI KUNA MAANDISHI YANATEMBEA SASA BOFYA HAPO KWA MARA MBILI ,THEN ITAFUNGUNGA MPK ITALETA MAIN "unlocking" service n.k shida yako kuunlock haya sasa kuunlock simu yako kwa kubofya unlocking then chagua cpu ya simu yako ambayo vf 301 ni 6580 baada ya kuchakua zima simu yako ,toa laini zote ,hakikisha unaizima baada ya hapo kuna sehemu imeandikwa direct unlock haya CLICK hapo !! Ukimaliza italeta maelezo mwisho kabisa italeta maneno yafuatayo PLEASE INSERT USB CABLE !! haya sasa chomeka simu yako chap kwenye computer simu itajiunlock within 5 minutes na kuwaka ,baada ya hapo test laini yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app
40K au 4K?Na unlock kwa tsh 40k tuuuu nakurudishia pesa yako yote ikishindikana au usipo ridhika na huduma njooo dm