MSAADA WA KU UNLOCK SHARP SIDEKICK PV300 for free

baghozed

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2011
Posts
532
Reaction score
97
Habari wana JF nimeletewa simu kutoka ughaibuni Sharp sidekick (T MOBILE) sasa nikiweka sim card za hapa tz inaniandikia Enter code to enable SIM card, JE hizo code ni zipi na ntazipataje?Naombeni mnisaidie kwa hili.
Asante
 
ok,ni hivi ukiona simu yako inaomba code,pass,etc unapoingiza line yeyote ujuwe inahaja ya flash upya hii,ni imelock dude sawa.
need any help ask
 
ok,ni hivi ukiona simu yako inaomba code,pass,etc unapoingiza line yeyote ujuwe inahaja ya flash upya hii,ni imelock dude sawa.
need any help ask

Ok,sasa ntai flash vipi au ndo mpaka kwa mafundi?
 
Ok,sasa ntai flash vipi au ndo mpaka kwa mafundi?

Dah! hiyo kaka haina mganga, labda uirudishe hukohuko wa unlock kwanza kisha wakuletee. nimemwachia dogo wangu amefanya IPOD.
 
ok fanya hivi uko dar or?kama uko dar nenda lumumba na pemba ukiacha tu jengo la kwanza kuna duka liko pale nenda na elezea tatizo hili lazima watakusaidia poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…