Msaada wa ku- unlock my phone: Samsung galaxy s.

Msaada wa ku- unlock my phone: Samsung galaxy s.

mosara

Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
20
Reaction score
4
Ni simu yangu niliinunua 2 years back. password ya kufungua simu naifahamu, ila kuna mtu aliichezea kwa kujaribu kuifungua, kisha ikajifunga. TOO MANY PATTERN ATTEMPTS! Now inahitaji ni sign in with my Google account ili ifunguke.
Tatizo nimesahau na pale nilipotunza hiyo my Google account and password nimetafuta sana in three days sijaona hizo kumbukumbu. PIA NI COUNTY SIDE. Hiyo WANA JF, naomba msaada wenu. SIMU ZINAINGIA KAMA KAWAIDA, TATIZO SIWEZI KUPIGA NA KUFANYA MAMBO YOTE MENGINE YA MUHIMU. Ni very serial issue!! Ahsanteni.
 
mkuu kama ni gmail hiyo ni ile ile email yako unayoweza kuiacses kwa computer au kifaa chengine so fanya hivi.

Ingia gmail.com then nenda sehemu iliyoandikwa acount recovery au forget password.

Watakwambia ueke email adress yako mfano
mosara@gmail.com

then itafuata step ya kurecover password zipo njia tatu
1. Wakutumie text message kwenye namba yako ya simu
2. Wakupigie automatic call itayokutajia password
3. wakutumie email kwenye email nyengine uliyoweka mwanzo kama recovery. Mfano email ya rafiki yako alokufungulia email ya gmail

then ukipata password yako utalog in tena kwenye google acount
 
Ahsante Mkuu.
Issue ni kiwa ndani ya simi ndiko niliweka hizo memo zote, kile home kwenye hard copy nimetafuta kumbukumbu zote sijafanikiwa. Pia emails yangu ambae ya miaka nenda rudi memo ziko kichwani ni mbili ila hizo, 1. yahoo and gmail hizo nimejaribu sijafanikisha pia. Hiyo ya kujibiwa kwa njia ulizonieleza its ok, ila hizo data za ku recover password sitoweza sababu nili store kwenye simu. Msaada mwingine wana JF.
 
Back
Top Bottom