Msaada wa ku unlock ALCATEL MODEM

Msaada wa ku unlock ALCATEL MODEM

EUNICE 2

Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
21
Reaction score
4
Naomba mnielekeze namna ya ku unlock ALCATEL MODEM

IMEI;
867612004088039
MODEL:X230E ( nikiweka laini nyingine inanambia niweke NCK, NA NIMEBAKIZA 3TRIALS)
 
  • Simu yako NCK code yake nitakupa kwa tsh 20,000/-tu.
  • Thread yangu kuhusu unlock code ipo hapa WAWEZA KUIPITIA.
    Code:
    [/COLOR][URL="https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/515251-huduma-unlocking-phone-by-imei-number.html"][COLOR=#0000ff]https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/515251-huduma-unlocking-phone-by-imei-number.html[/COLOR][/URL][COLOR=#0000ff]
Karibu Sana
 
  • Simu yako NCK code yake nitakupa kwa tsh 20,000/-tu.
  • Thread yangu kuhusu unlock code ipo hapa WAWEZA KUIPITIA.
    Code:
    [URL="https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/515251-huduma-unlocking-phone-by-imei-number.html"][COLOR=#0000ff]https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/515251-huduma-unlocking-phone-by-imei-number.html[/COLOR][/URL]
Karibu Sana
tsh 20,000/- for codes mmmh alcatel modem? najua hii ni new algorithm na si vema kuweka free kwasababu ya kulinda soko. ila for 20,000/- bei ipo juu sana.
 
  • Mkuu comment yako imenigutusha,nakurudia tena kusoma thread, kitu nilichofanya ni kupaste IMEI # aliyotoa jamaa kwenye system, then ikaja model ya simu na price yake ndio hiyo.
  • Siku note kabisa kitu modem japokuwa maandishi ni makubwa. Thanks kwa kunigutusha.
  • Back to topic: NCK code za alcatel modem ni ths 8,000 tu
Karibu
 
Nice recovery ........
Hata mimi nilikuwa na wasiwasi kuwa uli-note model vibaya.

Four and a half stars. kwako mkuu Mwl.RCT
 
STILL THE SAME PRBLEM.PLEASE HELP ME IMEI :867612004088039
MODEL:x230E (modem one touch)
 
Last edited by a moderator:
dada eunice kila kubwa ina kubwa yake sasa hv ni mwendo wa kuweka chip yeyote in ma modem ongea na njunwa ndio dr alcatel
 
  • Mkuu comment yako imenigutusha,nakurudia tena kusoma thread, kitu nilichofanya ni kupaste IMEI # aliyotoa jamaa kwenye system, then ikaja model ya simu na price yake ndio hiyo.
  • Siku note kabisa kitu modem japokuwa maandishi ni makubwa. Thanks kwa kunigutusha.
  • Back to topic: NCK code za alcatel modem ni ths 8,000 tu
Karibu

Mkuu msaada wa ku unlock Alcatel onetouch X230E-2LATTE3 Emei:867612003914862
 
Back
Top Bottom