Msaada wa ku track simu yangu ilipo

Msaada wa ku track simu yangu ilipo

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,438
Reaction score
3,951
Wanajamvi niko tanga nimepoteza smart yangu kwa anayefahamu application ya ku track simu kujua location anisaidie au namna yoyote ya jinsi ya kujua phone location msaada wa haraka unahitajika. Natanguliza shukrani
 
Hakuna uwezekano huo mkuu maana kariako wamesha kuwa wajanja yaani wana futa kila kitu mpaka IMEI hivyo huwezi ipata kirahisi na kwa sasa wakiziiba hawa tumii mpaka wazibadilishe , yaani bongo ukiziba mlango wa kutokea wao wanatoboa ukuta , kumbe kama unasimu yako baszi jihadhari kuilinda vyema
 
Kama vipi nasikia hapo Tanga kuna waganga wa jadi hebu jaribu kuwaona hao "wataalamu"
 
Hakuna uwezekano huo mkuu maana kariako wamesha kuwa wajanja yaani wana futa kila kitu mpaka IMEI hivyo huwezi ipata kirahisi na kwa sasa wakiziiba hawa tumii mpaka wazibadilishe , yaani bongo ukiziba mlango wa kutokea wao wanatoboa ukuta , kumbe kama unasimu yako baszi jihadhari kuilinda vyema
Kuna IT aliniambia hata uji change imei itasoma tuu. Na itaonesha imei mpya na hapo unakamatwa tuu
 
Na pia cku hiz cm ikishaibiwa inatumika kama spea.. na wanakuambia spea zinalipa kuliko kuuza cm nzima..

Back
Top Bottom