Nilipita nikaona hakuna sehemu ya ku submitt selection zako. Ukishamaliza kujaza course zako vizuri kabisa na kwa usahihi, upande wa kushoto, chini kuna option ya kuprint selection zako for future reference! Una log off, na hapo unakuwa umemaliza!

Kwenye Second Round Nahisi Hawana Option Ya Kuprint Maana Wengi Inakataa Just Jaza machaguo yako Mpk Utakapoambiwa Congratulations Hapo Utakuwa Umemaliza Log Out Sbr Wafanye kazi Yao