Msaada wa ku-review website yangu!

God knows

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
276
Reaction score
173
Habari,

Nimetengeneza Website hii kwa ajili ya matumizi ya IT Company. Nahitaji msaada wenu kuireview kwa sababu ipo kwenye final stages za development kabla haijaanza kutumika rasmi. I tried to manually code almost everything for branding purpose.

Only two modules were integrated from external open sources - the live chat and unslider.

- Naomba uniambie kama inafaa kwa mahitaji hayo au la.
- Design kama ni nzuri au mbaya.
- Uniambie kipi umekipenda na kipi hujakipenda au unawish kibadilishwe.

Maoni yote napokea. Positive na Negative.

Website ipo temporarily hosted hapa: MacroSam Solutions - IT Solutions Group

Karibuni!!
 

Ndugu kazi bado unayo,nakuomba jifungie piga kazi usiwe na haraka ya kuomba ushauri wakati page almost nyingi bado hujaziweka, wewe umekamilisha home page tu ,unataka tutoe ushauri.

Mimi siwezi kwa sasa naweza ongea vitu usivyovijua,kweli umekamilisha home page tu then unasema iko kwenye final stage,the only page inayoload ni home page tu,please fanya kazi. Hizo drop down fikiria kuzifanya kuwa transparent(soma "opacity" in css3)
 
Mkuu Aqua, all the pages are working. Sema nadhani hiyo server ninayojaribia ipo down. Ila Asante kwa ushauri. Nitaomba kama uta-visit tena baadae.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Aqua, all the pages are working. Sema nadhani hiyo server ninayojaribia ipo down. Ila Asante kwa ushauri. Nitaomba kama uta-visit tena baadae.
Ok,inawezekana ikawa down kwani kuna muda ilikuwa haifunguki wakati website zingine nilikuwa naweza fungua,basi nitakapoweza kuona page zote nitatoa ushauri wangu.
 
Good job God knows,it looks good, however doesn't look like like it was designed for mobile devices so whether that's what you intended or not it's still a good site.

Usually after checking the site huwa naangalia code, css looks clean but adding those imports means more requests to your server so try putting them in one file especially when the site is in production environment.

Advise: Try learning how to use a css preprocessor like less or sass (I'd recommend sass because that's what I use and overall its better than less), these will make you more efficient as I see there's a lot of css selector repetition, keep up the good work.
 
Last edited by a moderator:
Kazi imekaa vizuri kuna mambo madogo madogo yakufanyia marekebisho kama Zech alivyosema,kitu nilichokiona "Home" page ukishaenda kwenye page zingine hakuna sehemu unaweza kurudi kwenye index/home page nashauri katika navigation menu zako ikiwezekana ongeza uite "home' then iwe linked na zingine.

Kwa dunia ya sasa ni muhimu ukajua kutengeneza "responsive website' kwani seriously watu wanatumia vifaa vyenye screen za size tofauti kuingia kwenye net.Website yako ni simple hainavitu vingi vya kumchosha mtembeleaji.

Weka "opacity" kama itakupendeza kwenye drop down menu zako ,design ya flashing photoz greyed/blurred image inaleta mvuto so you may keep it as long as the customer need it.

Paragraph zako hazina mambo mengi just incase zitakuwa na mambo mengi unaweza fikiria kutumia property ya "p:first-letter" selector kuifanya paragraphy ianzie nadni kidogo au iache nafasi kushoto kama tulivyokuwa tunafundishwa shule.

All in all it is a good job,pia angalia ukubwa wa font zinazoelezea page niliyopo na zile za navigation kama ikikupendeza,fanya navigation font size iwe kubwa walau kidogo kuliko font ya maneno yanayoelezea page niliyopo.

Kama ikikupendeza maneno yanayoelezea page niliyopo yape rangi tofauti na rangi ya maneno ya navigation bar.

Regards

Aqua
 
Well done lakini unataakiwa kurekebisha baadhi ya vitu hivi

1. Punguza opacity iwe nyepesi ili hizo drop down zipendeze zaidi.

2. Ongeza hyperlink ya index/home page ili kumrahisishia user, badala ya kutumia logo au go back.

3. Jaribu kuweka picha zenye resolution kubwa kidogo kwenye slider ili kupunguza noise.
 
The site inn general iko poa. what i will recommend is just to avoid free things as they always have a hidden agenda. upgrade your domain, and if at all you need a server for your website which in this case is not necessary get a paid one.

Otherwise nice website.
 
Home page iko vizuri!! kwingine nimeshindwa kufungua, haifunguki
 

Asante mkuu, kama ulini-quote vizuri mwanzo, nilisema nimeiweka hapo temporarily ili niweze kupata ushauri kutoka kwenu. Everything will be moved to paid editions in production version.
 
Nawashukuru wengine wote, nitatendea kazi ushauri mlionipa. Kuhusu link to home page, the company logo does. though I will try to add it on a navigation menu. Thanks again very much.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…