Yericko Nyerere
Platinum Member
- Dec 22, 2010
- 17,027
- 20,519
jaribu ku log in kwa kutumia facebook account au g+l, kwenye login form kwa pale chini kuna hiyo option.
nilishapata hili tatizo ila nilivyolitatua,vimenitoka kidogo, bt i will try to walk u through,,account yako iko compromised, kuna mtu kakubadilishia password,,kuna option ya forgot my password, ukishaclick kuna option mbili zitakuja ,ya kujibu secret question na ya kutuma password kwenye mobile number, hebu check hiyo kwanza.
pia unaweza tumia account ya gmail kama huna email fungua gmail account uitumie kulog inn
Yericko mbona naona bado unaendelea ku-twitte?
Kama wamaiba na fb, kuna njia nyingu za kurecovrr fb sio email tu, jaribu njia zengine.