Salam Wakuu,
Kwa yeyote mwenye ujuzi wa ku-recover data zilizofutwa kwenye LAPTOP naomba anicheki kwa 0784132525. Nilifuta taarifa mwezi FEBRUARY 2020 kuhamishia kwenye PC nyingine na bahati mbaya hio PC imeibwa juzi
Ukifanikiwa utaniambia kiasi cha kukulipa