Msaada wa ku-factory reset Tecno Y4

Msaada wa ku-factory reset Tecno Y4

LARRYBWAY

Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
82
Reaction score
5
Habari zenu wanajukwaa wenzangu, shida yangu ni moja, nimeletewa simu aina Tecno Y4 ambayo ime-corrupt software, sasa lengo langu ni kutaka ku-factory reset.

Hatua1. niliyofanya niku-bofya Volume Up pamoja na power button then ikaniambie mode ya kwenda, ambapo kulikuwa na Normal, Recover na Fast Mode, mm nikachoose Recover then ikanipeleka kwenye option ya Wipe Cache/Factory Reset,.

Baada ya kuchagua hapo ikanipeleka kwenye choose Yes, nilipobofya ikawa inakataa na kuniletea kile ki-robot cha android kikiwa vifungo wazi na keyboard huku alama nyekundu ikiwa imewaka ndani yake.

Msaada waungwana kwani ndio nimeishia hapo.
 
Ina mda gani? kama jibu ni bad iko na warrant bado na upo DAR wapelekee tecno makao makuu posta NHC HOUSE floor ya kwanza watakupigia software mpya ya tecno y4 na buree. Na sidhan kama wanafatiliaga hiyo warrant.
 
nicheki apa 0712 163248 nikuwekee firmware mpya nasimu iwe mpya
 
Back
Top Bottom