Msaada wa ku connect hotspot to ps4

Chapakila

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
285
1,376
Msaada wenu nimekwama Naomba kujua njia ya ku connect hotspot ya my iOS to ps4 nimejaribu kila njia haitokei kwenye ps4 ila kwenye pc naipata chap lakini kila nkijaribu kwenye ps4 haisomi.

Nimejaribu hotspot ya mshkaji imetokea ila yangu haisomi na Ndio yenye bundle la uhakika, msaada wenu wakuu.
 
Msaada wenu nimekwama Naomba kujua njia ya ku connect hotspot ya my iOS to ps4 nimejaribu kila njia haitokei kwenye ps4 ila kwenye pc naipata chap lakini kila nkijaribu kwenye ps4 haisomi. Nimejaribu hotspot ya mshkaji imetokea ila yangu haisomi na Ndio yenye bundle la uhakika, msaada wenu wakuu.

Lazima ujue PS ya ko inapokea Band gani ya Wifi na Simu yako inaprovide Band gani ya Wifi
 
5401C1F2-149A-41C6-82EC-EABEC7DF6DC1-3022-0000067D73A58F7B.jpg

google vifaa vyako ujue
 
Back
Top Bottom