iyo gta iv ni highly compressed ?Mambo vipi Wajuvi wa mambo, hope mko poa na mnaendelea na mapambano ya Maisha. Nimekuja kwenye kuhitaji msaada wa Ku-burn Image ya GTA4 kwenye Laptop yangu.
Changamoto inakuja ni kwamba DVD-R yangu inasoma 4.7GB aina ya Princo, Image ya GTA ni 4.3. tatizo linakuja nikifungua ASHAMPOO BURNING STUDIO nikienda kwenye ku-burn image haitokei.
Nimeambatanisha na Picha ya Image ya GTA 4 ambayo nikienda kwenye Folder lake kwa ajili ya ku-Burn haionekani. Penye wengi kuna wengi, nahitaji msaada katika hili.
Asante sana Mkuu kwa msaada wako, hakika nakukubali na upo deep kwny tasnia ya Tech. Thanks Bro. Nitaleta mrejeshoshida yako ucheze game au u burn cd?
kama shida ni kucheza tu game tumia software kama power iso au daemon tool lite ita mount hilo file na laptop itaona kama cd imeekwa na kuinstall.
kama still unataka iso au unataka ku burn cd fanya hivi.
1. download software inaitwa freearc
2. extract hilo file la gta linaloishiwa na .arc
3. tumia software unayopenda ya kutengenezea iso na yakusanye hayo mafile yawe iso. unaweza tumia daemon tools, pengine hata hio ashampoo yako inatengeneza iso toka kwenye folder.
4. burn iso yako kwenye cd.
Asante sana MkuuHamishia kwenye flash then uitume kwenye computer unayoyaka kuinstall...download power iso then fanya kui mount
Lengo ni kuchezaiyo gta iv ni highly compressed ?
-je kuna umuhimu wa ku burn kwa ajili ya kulihifadhi au kumpa mtu?
li mount game kwa kuitumia Power Iso au Daemon ToolLengo ni kucheza
Asanteli mount game kwa kuitumia Power Iso au Daemon Tool
shida yako ucheze game au u burn cd?
kama shida ni kucheza tu game tumia software kama power iso au daemon tool lite ita mount hilo file na laptop itaona kama cd imeekwa na kuinstall.
kama still unataka iso au unataka ku burn cd fanya hivi.
1. download software inaitwa freearc
2. extract hilo file la gta linaloishiwa na .arc
3. tumia software unayopenda ya kutengenezea iso na yakusanye hayo mafile yawe iso. unaweza tumia daemon tools, pengine hata hio ashampoo yako inatengeneza iso toka kwenye folder.
4. burn iso yako kwenye cd.
inawezekana 4.6 isikubali ku burn kwenye 4.7Mrejesho baada ya ku-download Power ISO na Freearc. Nikafanikiwa kutengeneza Image ya GTA IV lakini ishu ikaje kwenye ku-burn na ku-install. Ilichoniletea baada ya ku-burn kwa kutumia Ashampoo ni hiki kwenye picha.
Picha ya pili ni baada ya ku-Mount japo Capacity ya game haikupungua ikawa ni 4.6GB.