Yangu nimesajili mkuu, hatua yakwanza unasajili kampuni BRELA, unalipa kodi TRA, unalipa application fee TCRA inakaguliwa wanakupa go on ndo unalipia leseni 1M baada ya siku 3-4 za kazi wanakuruhusu. Kwasasa kuna watu walienda kukata rufaa so TCRA wamekaa kimya ila wakishinda wataliamsha na itawaathiri wengi.
Kwenye dashboard yangu baada ya usajili inaonekana hivi