Msaada wa kozi hizi za Engineering..

Msaada wa kozi hizi za Engineering..

jombi95

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
1,405
Reaction score
2,187
Wakubwaa shikamooni...!!

Mdogo wenu naomba msaada wa kozi hizi kwa second round

UDSM kuna Bachelor of Engineering Geology nafasi 3 zmebaki na Agriculture engineering and mechanization nafsi 12..

Ubungo chuo cha Maji bachelor of science in civil irrigation engineering nafasi 36 zmebaki na NIT Mechanical engineering kuna nafasi 337 ....

Nlisoma PCM : O level one ya 14 advance one ya 9:
Msaada please nianze na ipii hapo mana najihisi kudata naona malengo yangu yanapotea
 
Udsm sahau uwez Pata
Chuo cha maji nacho sahau
Ata iyo NIT umuombe mungu utaweza Pata labda iyo ila ni guarantee
 
we bwana ww yanani yote hayo kututajia midivision yako hapa tushakujua we nikipanga aya tuanze sasa nikusaidie nn
 
Hivi inakuaje mtu mwenye one akaachwa? Au uchaguzi wa course?
 
Mwanzo ulijazaje hadi ukakosa hebu weka machaguo ya mwanzo labda tutoa comment vizuri na ujaze wapi
Okeii mwanzo ilkuwa hivi.....
Electrical ...UDSM
Mechanical...UDSM
Electrical...DIT
Civil...DIT
Civil...ARDH
 
Apply water resources and irrigation engineering hapo WDMI(chuo cha maji) kwangu ndio naona best selection achana na hizo nyingine utasumbuka ajira baadae
 
Back
Top Bottom