Msaada wa kodi ukiagiza gari.

Msaada wa kodi ukiagiza gari.

Mnyaluhala.

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Posts
1,430
Reaction score
1,789
habari. Nataka kuagiza gari mark II Gx 110 ya mwaka 2001 cc 2480. CIF hadi dar ni dollor 2070. je kodi itanighalimu sh ngapi. kwa wataalam wa kodi naomba msaada please. Je kati ya Gx 100 na Gx 110 ipi ninzuri kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani.
 
Back
Top Bottom