Msaada wa kiufundi

Msaada wa kiufundi

Pepo

Member
Joined
May 7, 2011
Posts
50
Reaction score
7
Ndugu, nina Nokia E50, ina tatizo la kutofanya kaz baada ya kuiwasha inastuck, namba ukibonyeza inadisplay ila ukipiga simu hailirespond. Msaada plz
 
Mie nina Nokia E51, huwa ikitokea imemisbehave naingia kwenye link ya GSMArena.com - GSM phone reviews, news, opinions, votes, manuals and more... then nasellect phone model yangu
halafu naingia kwenye User comments and review. huwa utakuta tatizo lako lilishawakuta watu wengine..hapo unaangalia lilitatuliwa vipi na ww una
tumia hiyo solution yao kuadjust tatizo lako.
hebu bofya hapa na kisha ufuatiiie hioz user comments zao uangalie kama kuna mtu qaliwahi kupatwa na tatizo lako.

Nokia E50 - Full phone specifications
 
Back
Top Bottom