Msaada wa kiufundi tafadhali

kamili

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
1,219
Reaction score
855
Nina matatizo mawili. Kwanza; Kwa zaidi ya mwezi sasa compyuta yangu aina ya dell (ambayo nimeitumia kwa zaidi ya miaka miwili) imekuwa too slow na tena hata kufungua internate ni shida kweli. Sina mashaka na virusi kwani natumia kaerpesky ambayo ninaiapdate almost daily. Nimeiscan haikusaidia, nimetoa mafaili yote pia haikusaidia.
La pili; kutokana na shida hiyo nikawa naenda internate cafe, na moderm yangu ikapata virusi ambavyo baadae niliviscan kutumia hiyo compyuta yenye shida ya uzito.
Japokuwa ilionekana virus vimeondolewa, ile flash nikiifungua sioni mafaili yake yaani ni nyeupe as if haina faili hata moja. Lakini nikiangalia space inaonesha imejaa. Halafu nikiiscan naona yale mafaili yanatajwa kwa majina na antivirus kuwa yapo. Je ina maana virusi bado wapo? Na kama ndio ina maana keperskay imeshindwa? Kibaya zaidi flash hiyo niilingiza kwenye hp ambayo sijaiwekea antivirus.
Samahani kwa maelezo marefu. Naomba msaada wa mawazo.
 
Maelezo umetoa, lkn hujasema unataka kusaidiwa nn.
Unahitaji data za kwenye flash? Unahitaji kuscan compyuta? Au kipi ndg.
Utatumia window gani?
 
Maelezo umetoa, lkn hujasema unataka kusaidiwa nn.
Unahitaji data za kwenye flash? Unahitaji kuscan compyuta? Au kipi ndg.
Utatumia window gani?

Asante kwa kurespond. Ninachohitaji compyuta yangu ifanye kazi vizuri kama mwanzo na flash ioneshe mafaili yaliyofichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…