Msaada wa kiufundi kwa RAV 4

Msaada wa kiufundi kwa RAV 4

Cheidhue

Member
Joined
Jan 19, 2011
Posts
16
Reaction score
7
Wana Jamii Forums,

Mimi Nina RAV 4 model ya 1999. Inatatizo la kutoa sauti ya kugonga nyuma kwenye maeneo ya kwenye diff ya nyuma, hasa ninapo-engage gear.

Je kuna mtu yeyote anafahamu solution ya Tatizo hilo? au kama unafahamu fundi mzuri please nipatie number yake.
Wana Jamii Forums,

Thanks

Mdau.

Kweli leo UKAWA mmechanganyikiwa. Na hii nayo ni habari ya siasa?
 
Wana Jamii Forums,

Mimi Nina RAV 4 model ya 1999. Inatatizo la kutoa sauti ya kugonga nyuma kwenye maeneo ya kwenye diff ya nyuma, hasa ninapo-engage gear.

Je kuna mtu yeyote anafahamu solution ya Tatizo hilo? au kama unafahamu fundi mzuri please nipatie number yake.
Wana Jamii Forums,

Thanks

Mdau.

Thanks

Mdau.

kaangalie oil ya diff ya nyuma kabla hujaikaanga...unataka namba ya fundi wa aina gani?? kuna wengine bei kubwa garage ya ukweli, kuna chini ya mwembe, wewe tu
 
Nipo Dar-es-salaam

Hiyo itakuwa propela imelegea bolts za kwenye kiunganishi na difu au umeendesha kwenye maji muda mrefu bila kupiga grisi. cheki hivyo vitu viwili na usiende kichwa kichwa gereji utalizwa.
 
Ushauri wa bure just check tyres size zinalingana? If new all new!
 
mkuu hila tatizo mara nyingi lipo kwa hayo magari.hio shida yaweza sababishwa na yafuatayo;kacheck mount zinazoshililia diff kama ni nzima,check diff yenyewe,je inavuma ikiwa kwenye mwendo? kama vyote vipo ok itakua gearbox mkuu! kuna shaft ndani ya gearbox,bush yake inaletaga hio shida kama imeisha
 
Mkuu kwenye diff. Ya nyuma kuna balljoint ambayo inaishikilia diff. Check kama ni nzima. Mara nyingi balljoint hiyo ikifa gari inakuwa na tabia ya kugonga unapoengage gear
 
Back
Top Bottom