Mkuu alienda kwenye pharmacy kupima na mimi sipo karibu naye that's why nilihitaji kujua zaidi. Ili nikifika home nijue wapi pa kuanzia ili kuweza kutatua tatizo hili.Maswali mengi bwana,kwa daktari hakukwambia au ndo unatangaza ugonjwa wa mkeo
Mpeleke hospitali ana kisukari huyo! Mjifunze kwenda hospitali badala ya duka la dawa...Mkuu alienda kwenye pharmacy kupima na mimi sipo karibu naye that's why nilihitaji kujua zaidi. Ili nikifika home nijue wapi pa kuanzia ili kuweza kutatua tatizo hili.
Mkuu mpeleke kwa Ma-Daktari akapime kisukari ikijulikana anao huo ugonjwa wa kisukari nitafute mimi ninaweza kumtibu na akapona. Ukihitaji matibabu yangu unaweza kubonyeza hapa.MawasilianoHabari zenu wakuu,
Ni matumaini yangu wote tupo sawa na tunahangaika katika ujenzi wa taifa. Nisiwachoshe sana kwa salamu niende kwenye tatizo langu linalohitaji ushauri wenu wa kitaalamu.
Mke wangu tangu juzi alikuwa anahisi kizunguzungu na uchovu yaani muda wote alikuwa anahitaji awe amelala tu. Nikahisi labda huenda itakuwa mimba so tulipoenda kupima hakuwa na mimba ila tabibu akashauri apime pressure na sukari majibu yalipo kuja pressure ilikuwa inasoma 122/80 ambayo kwa mujibu wa tabibu wetu alisema ni ya kawaida na sukari ilisoma 20.7 pia alisema sukari ya kawaida inatakiwa iwe kumi kushika chini.
Naomba kujua je mke wangu atakuwa tayari amepata kisukari na jinsi gani naweza kumsaidia ili iweze kuwa katika kiwango kinachotakiwa.
Naombeni msaada wenu ndugu zangu
Mkuu nimekuelewa vizuri na yeye ana uzito wa 81Kgs na urefu wa 5'1ft. Najiandaa kumpeleka Hindumandal Hospital kwa ajili ya matibabu zaidi.Mke wako apime uzito pia, Board Max Index ni urefu gawanya na uzito na unatakiwa kwa mtu mzima isizidi 30.
Uzito ukiwa mkubwa unasababisha insulin ambayo inarekebisha kiwango cha sukari katika mwili isifanye kazi vizuri pia kutokana na sukari kutoweza kusagika vizuri na kupeleka nguvu kwenye chembe hai na muscles za mwili ndiyo maana unahisi uchovu, Fanyeni vipimo kama walivyoshauri waliotangulia lakini mazoezi ni njia nzuri ya kucontrol sugar levels pia chakula.
Riport ya WHO 2014 inasema Tanzania tuna wagonjwa wachache sana wa ki-sukari.
Kati ya yote hayo ambalo linamsumbua sana ni hili la kuchoka kila wakati. Mengine hajawahi kulalamika.Muangalie kama ana haya
Anakojoa sana
Anakunywa maji mengi na kiu kila wakati
Anachoka kila wakati
Haoni vizuri au macho yanamsumbua
Anapata njaa mara nyingi isivyo kawaida
Kama yapo kuna chance kubwa MNO mkeo ni diabetic.Nendeni hospitali.Poleni
Ukitoka huko Hindu Mandal utupe mrejesho ili wengine nao wafaidike maana huu ugonjwa wengi wanakua nao ila hawajijui.Kati ya yote hayo ambalo linamsumbua sana ni hili la kuchoka kila wakati. Mengine hajawahi kulalamika.
Pharmacy?????? Mimi nilijuwa umempeleka hospital, Mkuu acha masihara na afya ya mtu,kama ni jambo serious mtumie pesa aende sio mpaka akungoje wewe, ehhh ni ubahili ama especially ni mwandani wako,Mkuu alienda kwenye pharmacy kupima na mimi sipo karibu naye that's why nilihitaji kujua zaidi. Ili nikifika home nijue wapi pa kuanzia ili kuweza kutatua tatizo hili.