Msaada wa kitaaluma na kazi

Babu wa Loliondo

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
323
105
Salaam za mwaka mpya wanajamvi,
Niko kwenye ajira leo miaka 5 sasa ktk kampuni ya kigen hapa nchin,ila nafanya kazi 97% sio za taaluma yangu,taaluma yangu ni mhasibu mwenye CPA,nilipoajiriwa sikua na hii CPA,bali nimeipata mwishon mwa 2014,lkn baada ya kumjulisha mwajiri wangu kua sasa nimeongeza kiwango cha elimu pengine atanisikiliza lkn hakuna kitu,dhumuni langu ni kutaka kuendeleza taaluma yangu ya uhasibu kwa kuongeza ueledi zaid ktk kazi,na ueledi huu hauwezi kupatikana bila ya kufanya kazi za kihasibu kwa 100%,...

Msaada gani nahitaji:
Huu ni mwanzo wa mwaka na makampuni mengi ndio huajiri hivyo mwanajamvi nisaidie kwa kunipenyezea kampuni inayohitaji mhasibu,ila ningependa zaid niwe chini ya msimamiz wangu mwenye CPA niweze kukidhi masharti ya NBAA.

Kwa ufupi ni hayo tu wanajamvi,niwatakie jpili njema.
 
Back
Top Bottom