Msaada wa kitaalam

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
2,073
2,024
Habari zenu wakubwa....naomba kuuliza, hivi ni jenereta yenye uwezo gani(minimum requirement) inayoweza kuendesha pampu ya maji(kutoka chini kwny kisima) ? Naomba ukijibu,quote hii msg ili niweze kupata majibu kwa urahisi!Asanti
 
Tusubiri wataalam watakuja hapa kutoa ufafanuzi na ushauri wa hicho ulichouliza.
 
Habari zenu wakubwa....naomba kuuliza, hivi ni jenereta yenye uwezo gani(minimum requirement) inayoweza kuendesha pampu ya maji(kutoka chini kwny kisima) ? Naomba ukijibu,quote hii msg ili niweze kupata majibu kwa urahisi!Asanti
Dah....ukubwa wa pump... Urefu wa kisima ni muhimu sana...
Ushauri wa bure: Kama ni maeneo ya shamba kusiko na umeme achana na habari ya generator..tumia umeme jua... Na kama hujanunua pampu basi kanunue inayoweza kutumia jua kiurahisi zaidi (DC motor) zipo madukani hapo gharama za uwekaji zitakuwa juu kidogo lakini utaenjoy sana
 
Nashukuru RohoMbaya yenye mambo mazuri!kiukweli natamani sana pampu ya sola,shida ni kwamba kukiwa na wingu sitapata nguvu ya kutosha kuendesha pampu!Ni kweli nataka kutumia shamba!pampu ni 1 to 1.5hp na kisima 60 to 70mts
 
Back
Top Bottom