nimecopy movie ambavo ipo kwenye mfumo wa VCL kwenye flash disc na lengo langu ilikuwa ni kuiangalia hyo movie kupitia deck yangu ya samsung ili kitu kidisply kwenye big screen sasa tatizo linakuja napata error inasema VIDEO NOT SUPPORTED je kitu gani natakiwa kufanya hapo?
Angalia extension ya video utakuta ni. mp4,. mkv au. avi na . mov video nyingi zenye extension ya. avi zinacheza deki za kawaida, kama ipo format tofauti uibadili iwe. avi
Mkuu @hp4510 Nakushauri udownload software inaitwa Bigasoft total Video Converter kuconvert hiyo videom kwenda format ya .avi (xvid) maana mpg2 aliyosema September 5 huwa ina size kubwa zaidi ya avi pia sound quality huwa siyo nzuri, Ila kumbuka wakati wa ku-convert set resolution kwenda 640 x 360 maana hii ndiyo final resolution inayosupport DVD Players nyingi.