Android devices zenye older versions (APIs) zina tatizo la hilo baada ya kutumika kwa muda. Solution iliyobaki ni Kufanya hard reset,. Baada ya hapo jaribu ku-unistall applications ambazo hazitumii space kubwa, mfano: tumia Opera Mini badala ya Chrome browser.. Pia siyo lazima kuwa na IM mbili kwenye simu yako ya low end.. Ridhika na jikubali