God is Dead
JF-Expert Member
- Jan 11, 2019
- 1,313
- 1,529
Unapochagua kusuka, hakikisha unaujua vyema mtindo utakaosuka, vile vile na kunyoa,
Nilipowapa ushauri wa nini Cha kufanya waliniona hamnazo, huku wakifikiri ni mjinga wao mmoja,
Leo kinawatokea puani, ni rahisi sana, kitaalamu niwafunze tena, chuki inapojenga Imani, hakuna mwenye kushindana nayo, hata awe na nguvu kiasi gani, Bado ni kazi bure,
Msijidanganye na yaliyotokea mwanzo, kumbukeni chuki ya mwanzo haikuwa na Imani, hata sisi watu wa Christ tuliweza kupambana na udhalimu wa mrumi baada ya kupata wa kumpa Imani yetu, ili chuki yetu iweze kustawi,
Mwanzo walionekana kondoo kutokana na kwamba mchungaji wao hakufaa kubeba Imani Yao, ila leo mambo yamekuwa tofauti kidogo, wamegeuka mbwa mwitu, na chuki yao imelenga kurarua kitoweo chochote kitakachokuja mbele yao,
Yule mliyemfungia kwasasa anaeneza injili yake, vile inavyopaswa, na kumlea mtoto wake wa pekee, milyemsweka nae ndani, yule mtoto anapendwa na watu wote kwani ndio silaha ya kupambana na wale wote wanaojiona kuwa ni wababe, na wadhalimu,
Ngoja tupime upepo, ila dawa ilikuwa ni kumtoa sadaka, ila Kwa mnavyoendelea kumpa nafasi ndivyo anavyozidi kutawala jukwaa la ukweli,
Utawala na maadili ya watu wa juu vilifika tamati miaka mingi nyuma, leo watawala ni watu wa chini na wenye maadili ya kitumwa, bila wao hakuna popote mnaweza kufika, huo utawala ambao mnadhani una nafasi, ndugu zanguni mnajidanganya,
Usipojua kula na kipofu utateseka, ndio ugonjwa unaowasumbua kwasasa, wale wababe wanaowalaghai waliweza kuwa wababe kwakuwa waliishi kwenye zama za giza, leo kidogo mambo yamebadilika, kukaa upande wa wanyonge kunaumiza na kumchangia yule mtoto azidi kukua, nimechagua kukaa huu upande mwingine ili niwajuze kitakachowakuta,
Classics don't work in Africa, be the humble servant, that is what Africa is,
Mama kizimkazi punguza uoga, kaza, umechagua kazi ya kiume, huku bara, sisi ni watu wa nyika, lakini pia wale wanyonge walijiunga na ukristo na ndio wapo wengi, wakikushindwa wenyewe, watakufanyia alichofanyiwa Sina na Rindi na Marealle, Ile tabia Bado ipo,
Mwenzako aliweza kupambana kutokana na kwamba kule anapotokea wapo wengi ikiwezekana kuliko wengine wote lakini nikikutuzama wewe kila kitu hakipo upande wako, kaza sana, huna nguvu ya kupambana na hawa watu wakikuamulia, falsafa inadai kizazi kinakua kila siku, Hawa sio kama wale wa zamani,
Usiku mwema,