Msaada wa kisheria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kisheria

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jayfour_King, Oct 20, 2010.

 1. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Heshima kwa wote wana JF.
  Natumai wengi wenu hamjambo na mnaendelea vyema na shughuli za ujenzi wa taifa letu tukielekea uchaguzi mkuu.
  Nina tatizo na ofisi moja ya serikali hivyo ningependa nipate mawasiliano (contacts) za asasi za kiraia zinazotoa misaada ya kisheria kwa wanaohitaji.

  Nategemea ushirikiano katika hili, na nina tanguliza shukurani.

  Nawasilisha.
   
Loading...