Ungeweka background ya tatizo husika, ingeweza kuwasaidia "wanasheria" kukupa ushauri mzuri zaidi. Mume ameajiriwa na nani na mke ameajiriwa na nani? Wanafanya kazi gani?