Uchoyo tu Aliyekwambia uipeleke Pakistan nani hata Zero IQ hukumuona ?
Pole sana kwaiyo ukikubali kuacha kazi atakulea wewe na watoto,
Kama ni hivyo kubali kuacha kazi na akirudisha watoto unaomba kazi sehemu nyingine..
Yani ukawa unampanulia tu mpakistani mtoto wa 1 wa2 wa 3 wewe utakua mkenya wewe
Kwanza kabisa usikubari kuacha kazi pili nenda ustaw wa jamii mtasikilizwa na muafaka mtaupata
Usimkebehi..maisha ya ndoa hayana formula
Dooh...hakika unapofungua dirisha upate hewa safi....na chafu pia zinaingia...pole sana mleta mada Mungu akutie nguvu...Uchoyo tu Aliyekwambia uipeleke Pakistan nani hata Zero IQ hukumuona ?
Pole sana kwaiyo ukikubali kuacha kazi atakulea wewe na watoto,
Kama ni hivyo kubali kuacha kazi na akirudisha watoto unaomba kazi sehemu nyingine..
Yani ukawa unampanulia tu mpakistani mtoto wa 1 wa2 wa 3 wewe utakua mkenya wewe
Mm nilijua yupo nchin hapaMume wake na watoto wapo Pakistan huko ustawi wa jamii watafanya nini..
Mama ongea vizuri na baba watoto wako,jifanye mjinga ili umiliki watoto wako
Kuwa na heshima. Wakati mwengine ficha ujinga wako.Uchoyo tu Aliyekwambia uipeleke Pakistan nani hata Zero IQ hukumuona ?
Pole sana kwaiyo ukikubali kuacha kazi atakulea wewe na watoto,
Kama ni hivyo kubali kuacha kazi na akirudisha watoto unaomba kazi sehemu nyingine..
Yani ukawa unampanulia tu mpakistani mtoto wa 1 wa2 wa 3 wewe utakua mkenya wewe
Uchoyo tu Aliyekwambia uipeleke Pakistan nani hata Zero IQ hukumuona ?
Pole sana kwaiyo ukikubali kuacha kazi atakulea wewe na watoto,
Kama ni hivyo kubali kuacha kazi na akirudisha watoto unaomba kazi sehemu nyingine..
Yani ukawa unampanulia tu mpakistani mtoto wa 1 wa2 wa 3 wewe utakua mkenya wewe
Wewe uko wapi sasa hivi na kazi unafanya wapi?Unayesema nimempanulia angalia lugha yako kwani unapokuwa mke wa mtu si ndoa halali sikuenda nje kuwapanulia hapa nimekuja kuomba msaada sio kusikia hayo unayoongea n huyu si mume wngu ni x sasa tulishaana mda miaka minne
Nimekuelewa ila ungedadavua zaidKwanza kabisa mie nilikuwa mama w nyumbani tangia kaniacha hakunisaidia na wala hakunipa chochote unaweza ukaangalia historia yangu ipo hapa jamii forum naishi na mama kaka ndo ananisaidia na wanangu huyu bwana alikuwa hawapi gharama z chakula wala mavazi shule peke yake alikuwa analipa mpk vitabu mimi
La pili nimehangaika sina mtu anaenisuport kimaisha nikatafuta kazi nimepata kazi yangu ni ya masaa manane tu kama receptionist nimeanza leo miezi miwili
Ya tatu aliwachukua watoto kusema kama nitawasomesha huko na halafu baada ya miezi sita kama wtt hawajapenda huko nitawarudisha lakini sasa kabadilika ana mke huko ambae anawanyanyasa wtt pamoja na yeye kama kuna sehemu ya women rights naomba nifahamishwe niende kwa ajili ya msaada