Msaada wa kisheria

Msaada wa kisheria

hb81

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
289
Reaction score
181
Naomba kuuliza je kwa mwanafuzi ambae hataenda JKT itakuwaje atakapotaka kujiunga na chuo kikuu kama atafaulu
 
Huendi chuo kikuu cha umma. Labda cha private. Weye sio mzalendo kabisaaaaa. Nenda huko ukanolewe uwe mzalendo
 
Sawa nimeelewa kuna dogo angu anakataa kabisa
 
Acha uongo.
Muongo ni weye unayemdanganya mwenzio akose chuo hivi hivi. Wadhani yule afwande na minyiota yake alikuwa anapiga porojo?? Haya, acha huyo mjinga akuamini weye akose chuo hivi hivi. Intake hiyo huitwa KWA MUJIBU WA SHERIA. It is Compulsory sio uchaguzi.
 
Sawa nimeelewa kuna dogo angu anakataa kabisa
Mwambie haendi kwa kupenda kwake bali ni Compulsory yaani MUJIBU WA SHERIA. Hapo hana uchaguzi. Mwambie hata kama ana ulemavu unaoonekana wazi wazi, aende JKT Ruvu ndio huwapokea hao
 
Muongo ni weye unayemdanganya mwenzio akose chuo hivi hivi. Wadhani yule afwande na minyiota yake alikuwa anapiga porojo?? Haya, acha huyo mjinga akuamini weye akose chuo hivi hivi. Intake hiyo huitwa KWA MUJIBU WA SHERIA. It is Compulsory sio uchaguzi.
Narudia TENA wewe ni muongo. Wangapi hawajaenda jeshi na wamepangiwa wanasoma vyuo vikubwa tu vya serikali?
Nawajua zaidi ya kumi.
Enzi za Nyerere kuna watu walikuwa hawaendi sembuse sasa hivi?
 
Back
Top Bottom