goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,048
- 1,341
oNaomba kujua calculaton za ustawi wa jamii za matunzo ya mtoto chini ya mwaka mmoja ikiwa mwanamke ndo ameamua kuvunja ndoa mwenyewe na je kama ulilipa mahari kuna utaratibu wa kisheria wa kurudisha mahari?
Msaada wadau naona huyu mwanamke amefanya makudi ili apate mtaji maana ameenda kujifungua kwao ndo kawa mazima na anasema harudi huku akitishia kwenda ustawi wa jamii kwa madai ya matunzo ya mtoto
Mwambie aende haraka iwezekanavyo, atakachokutana nacho huko hatakaa afanye grave mistake km hiyo tenaaa.
Inshort huko ndo pona yako, mana utakuwa unamtumia kias kdg kuliko sasa.
Daaah sheria sijui ina nachojua haki yangu haidhulumiwi kwa njia yoyote ile.Naomba kujua calculaton za ustawi wa jamii za matunzo ya mtoto chini ya mwaka mmoja ikiwa mwanamke ndo ameamua kuvunja ndoa mwenyewe na je kama ulilipa mahari kuna utaratibu wa kisheria wa kurudisha mahari?
Msaada wadau naona huyu mwanamke amefanya makudi ili apate mtaji maana ameenda kujifungua kwao ndo kawa mazima na anasema harudi huku akitishia kwenda ustawi wa jamii kwa madai ya matunzo ya mtoto
Mfan mimi ni muumini wa Kisasi. Naamin jino kwa jino.Mwambie aende haraka iwezekanavyo, atakachokutana nacho huko hatakaa afanye grave mistake km hiyo tenaaa.
Inshort huko ndo pona yako, mana utakuwa unamtumia kias kdg kuliko sasa.
Imebidi nicheke...Akienda huko atakuwa anachukua 30,000/= ,btw kwanini hataki kurudi au wewe ni mwanaume mashine na vile amejifungua anagwaya kurud mapema ? Mpe muda.
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha amekimbia mashineMpaka mke kakukimbia loh
Tafuta hela mkuu
Umaskini mbaya sana
Pambana
Sent using Jamii Forums mobile app