Msaada wa kisheria

Msaranga

JF-Expert Member
Feb 10, 2009
956
227
Wanajamii poleni kwa majukumu,mimi niliibiwa pikipiki yangu ila ilikua na bima ya compressive.kuna kijana wangu alikua anaitumia kwa shughuli ndogondogo za nyumbani mchana.jioni akimaliza shughuli zake anakwenda kuipaki sehemu moja ambayo anaipaki kila siku na kuja kuichukua kesho yake na kulipia kiasi cha 500 kwa usiku mmoja.sasa siku moja alikwenda kuichukua asubuhi akaambiwa imeibiwa na yule mwenye eneo la packing akawmambia wale vija wake (wamasai) wanaolinda pale walimwarifu usiku kwamba pikipiki imeibiwa na yeye akawakamata na kuwapeleka polisi kwa hiyo aende polisi.akaenda polisi na kuwakuta ndipo na mimi nikaitwa kuwaona,polisi wakawahoji wakaonekana wanakosa la kujibu na inaonekana waneshiriki katika wizi huu.wakapelekwa mahakamaini kusomewa mashitaka.
Sasa mimi nikaenda kwa wale jamaa wa bima kuwaarifu wakaniambia nilete vitu vifuatavyo
-polisi report
-card ya pikipiki
-leseni ya mwendeshaji
-funguo za pikipiki
sasa vyote nimeviperleka lakini leseni ya mwendeshaji sina sasa hii sio accident ni wizi sasa leseni ya nini kama sio hawa jamaa wa bima wanataka kunihujumu tuu,
naombeni msaada wa mawazo ingekuwa ni trafiki kesi leseni ingetakiwa sasa hii ni wizi hapo vipi jamani
 
Hapana, ndiyo utaratibu wa bima. siyo kwamba wanakuibia. Lakini inategemea pia umejielezaje huko bima na maelezo uliyoandika. kama umesema alikuwa anaitumia mtu mwingine, kwa hiyo ni lazima wajiridhishe kwamba mtu aliyekuwa anaitumia ni mtu sahihi meaning, ana leseni ya kueandesha. Kama ikitokea hakuwa na leseni basi hawalipi. Hiyo ndiyo policy ya Bima. Ndiyo maana wanataka sana hiyo sana hiyo leseni.
 
duu kazi ipo jamani lakini hizi policy za bima ziwe zinaangalia na tukio pia
 
Back
Top Bottom