Habari za siku mbaya...pangilia hoja vizuri, kichwa cha habari hakiendani na kilichomo ndaniWasomi /wakuu habari za siku,
Ndugu;
Ni rahisi saana kuwalaumu polisi wetu wanapoifanya kazi yao kwa weledi. Hebu fikiri; Ingelikuwa ni weye, umetumwa kulikamata jambazi lenye silaha nzito nzito. Uliambie toka nje mungu akuone; wadhani huwa linatoka na mikono mfukoni?? Sasa Kamanda kasema, yale majambazi yalijibu kwa moto. Ulitegemea kama polisi wangelikimbia na kwenda kujificha ni nini kingelitokea?? Ni neno gani ungelisema hapa?
Jamani, tusiwalaumu polisi bali tuwaelekeze majambazi kuacha hiyo ofisi. Hailipi chochote.
[emoji23] ubaya wake ni kuwa ulikuwa hujaweka point vizuriUbaya wake?
Samahani
Nimerekebisha
Asant mkuuNdugu;
Ni rahisi saana kuwalaumu polisi wetu wanapoifanya kazi yao kwa weledi. Hebu fikiri; Ingelikuwa ni weye, umetumwa kulikamata jambazi lenye silaha nzito nzito. Uliambie toka nje mungu akuone; wadhani huwa linatoka na mikono mfukoni?? Sasa Kamanda kasema, yale majambazi yalijibu kwa moto. Ulitegemea kama polisi wangelikimbia na kwenda kujificha ni nini kingelitokea?? Ni neno gani ungelisema hapa?
Jamani, tusiwalaumu polisi bali tuwaelekeze majambazi kuacha hiyo ofisi. Hailipi chochote.
Nia ya bandiko hili si kuwalaumu
askari wetu wa usalama (polisi) au mtu yeyote yule
bali ni kuweka mazingira sawa. Tunaweza kurekebisha katiba na sheria ila sheria moja isiwe inatumika visivyo
Aidha askari wapewe mafunzo na vifaa bora zaidi kwa ajili ya kutekeleza majukumu yao n.k
Asant mkuu
Hao ni tundu lisuNashukuru mkuu kwa kunielewa. Kuna watu humu JF kazi yao ni kupinga kila kitu tu. Nadhani hawajawahi kufikwa na mkasa wa kuvamiwa na majambazi. Waliowahi kufikwa au kuona live kisa cha majambazi wenye silaha, hawaogopi kuiomba serekali kibali cha kuwatoa ngozi live majambazi angalao wasikie hao majambazi tu wakipiga yowe ya kuomba msaada
Nashukuru mkuu kwa kunielewa. Kuna watu humu JF kazi yao ni kupinga kila kitu tu. Nadhani hawajawahi kufikwa na mkasa wa kuvamiwa na majambazi. Waliowahi kufikwa au kuona live kisa cha majambazi wenye silaha, hawaogopi kuiomba serekali kibali cha kuwatoa ngozi live majambazi angalao wasikie hao majambazi tu wakipiga yowe ya kuomba msaada
Nadhani maishani mwako hujawahi kusikia neno kusingiziwa . Wapo pia watu waliwahi kufananishwa kwa bahati mbaya kimakosa (mistaken identity) hujawahi kuwasikia?
Watu kama hao serikali yao ipo wapi?
Umeelewa??Ana hoja ya msingi sana sasa kama hatuwezi kujibu swali lake basi tukae kimya then watakaoweza watajibu ila kupangilia vzr sio kila mtu anaweza kufanya hivyo by the way haujampeleka shule.Habari za siku mbaya...pangilia hoja vizuri, kichwa cha habari hakiendani na kilicomo ndani
Swali ni kwamba; Je, hao majambazi wataenda likizo au? Ili kuwe na fair play hapo kusikwe na upande unao wagandamiza wengine hapo? Jambazi haliji kwako kucheza drafti bali ni uhai wako na au malizako. Umewahi vamiwa na jambazi??
Chukulia mfano; Umevamiwa nyumbani kwako, mbele ya mkeo na watoto. Kama kuna msichana kati yenu, abakwe mbele yako halafu wambake mkeo, halafu wakulazimishe uwape hela ulizouza mahindi siku hiyo.
Hapo wewe waona kuwa kuna haki ya kuishi?? Imetokea wala sio hadithi. Nadhani kama ungesha patwa na msiba ka huu, wala usingeli kuja hapa JF na kusema, polisi wasiwauwe hao majambazi.
Hivi wajua kwamba kuna wakati hao hao majambazi huhonga wakaachiwa?? Nasema, kwa kuwa majambazi hujibu kwa moto, nao wapelekewe moto huko huko. Hongereni polisi kwa kazi njema
Kwa maelezo yako (wino mwekundu) hata hao wahalifu waliotuhumiwa wasingejibizana na polisi kwa risasi wangeuwawa tu?
Wala sina haja ya kukujibu kwa sababu tiyari ulisha amua kuwa polisi ni wauaji. Nikuulize swali; Je, inamaana hakuna majambazi yanayofikishwa mahakamani?? Kama wapo, Je, ni wote hufungwa?? Nawajua waliokwenda mahakamani na wakashinda kesi ya wazi kabisa na baada ya kutoka yakaiba wiki ile ile silaha. Tuseme tatizo liko wapi hapo??
Mbona kama unakurupuka mkuu..unajua mwanzo alikuwa ameandika nini?? baada ya kumwambia hivyo ndio akajirekebisha akaandika vyema upya sasa we unakuja kunishushia mapovu yako hapa!! Pole sanaUmeelewa??Ana hoja ya msingi sana sasa kama hatuwezi kujibu swali lake basi tukae kimya then watakaoweza watajibu ila kupangilia vzr sio kila mtu anaweza kufanya hivyo by the way haujampeleka shule.