Ofisi ya Mkuu wa Wilaya haihusiki kwa namna yoyote na mashauri ya ardhi. Anachotakiwa kufanya mhusika ni kutowasilisha vielelezo vyovyote kwa Mkuu wa Wilaya.
Asiyeridhika afuate taratibu za kimahama. Asiyeridhika akate rufaa Mahakama Kuu,Kitengo cha Ardhi. Kumsikiliza Mkuu wa Wilaya katika hili ni kukaribisha siasa na ubabe katika masuala ya kisheria.
Mkuu land division bado ipo?
LAND DIVISHENI bado ipo sana. Watu wengi, wakiwamo mawakili wanaconfusi sana hapa. Land Divisheni ilianzisha na High Court Registry Rules, GN 63/2001 chini ya Judicature and Aplication of Laws Act. Hiyo sheria wanayodhani ilifuta Land divisheni ya High Court (Act No 2 of 2010) haikufuta, bali ilitoa jurisdiction kwa mahakama kuu zote kusikiliza masuala ya ardhi. In other word, the Land Division of the high court is a creature of statute and can be disestablished by a statute only. act no. 2 of 2010 cannot establish or disestablish a registry, subregistry or a division of the high court. Authority pia zipo
Thank you Learned Brother.

nakubaliana na permanides. Sheria na 2 ya 2002 ilishafanyiwa marekebisho ambapo neno land division limeondolewa kila mahali panaposomeka high court land divisionSikuimanisha hiyo sheria ya 2010 ila kuna sheria ya 2013 inayofuta land divisions. Kama hzo kesi zipo tunaomba hata citations
Mkuu land division bado ipo?