single father
Member
- Oct 22, 2019
- 76
- 117
Hiyo huwa inatokea nafsi inakuwa na taarifa tena mara nyingi kama si zote huwa ni kupitia ndoto kupitia ndoto, maana ndoto ni maisha halisi ya mtu wa ndani ya wakati uliopita, uliopo na ujao, sema huenda anasahau kuwa aliota au anapuuzia, ila ubongo huwa unatabia ukiona taarifa ambayo tayari umeshaiona huwa unakupa taarifa kuwa hiki kitu sio kigeni au ni kigeniKwako Rakims na wajuzi wengine,
Swali langu ni kwamba, mke wangu anajambo linamsumbua sana. Iko hivi, anafika sehem kwa mara ya kwanza halafu anakuwa kama alishawai kufika hapo siku za nyuma ili hali hakuwa anapajua kabisa.
Sasa juzi imekuwa ni zaidi, yaani nimempleka kwenye kikao mwenyewe na hakuwa anajua ile sehem, ila baada ya kikao ameniambia hicho kikao alishawahi kuhudhuria na agenda ndio hizo, hadi ukumbi ndio huohuo na namna watu walivyo jipanga.
Huwa namkatalia ila naona inazidi, kwa sasa anahofu hata kuniambia maana anajua nitamkrash.
Ama ni mojawapo ya Seer....watu wenye uwezo wa kua ahead of Times....Kwako Rakims na wajuzi wengine,
Swali langu ni kwamba, mke wangu anajambo linamsumbua sana. Iko hivi, anafika sehem kwa mara ya kwanza halafu anakuwa kama alishawai kufika hapo siku za nyuma ili hali hakuwa anapajua kabisa.
Sasa juzi imekuwa ni zaidi, yaani nimempleka kwenye kikao mwenyewe na hakuwa anajua ile sehem, ila baada ya kikao ameniambia hicho kikao alishawahi kuhudhuria na agenda ndio hizo, hadi ukumbi ndio huohuo na namna watu walivyo jipanga.
Huwa namkatalia ila naona inazidi, kwa sasa anahofu hata kuniambia maana anajua nitamkrash.
Kwako Rakims na wajuzi wengine,