mimi nimechaguliwa kidato cha tano katika shule ya kimamba iliyopo kilosa uko morogoro lakini kutokana na hali ya kiuchumi sikuweza kusoma tuition na nimechaguliwa mchepuo wa PCB je naweza kupata matokeo mazuri msaada plz

unaweza kabsa...mimi mwenyew nimesoma hyo PCB na nimemalza mwaka huu,muda bado unao wewe komaa na tafuta ushirikiano kwa wenzako utatoka tu...hakikisha unacover topic mapema..kuwa wazi kwa rafk zako waambie sijasoma hiki na hiki..watakusaidia.

we mjamaa usikate tamaa. vp background yako lakn pia all in all anza upya katie msuli rafk yangu tia msuli jiunge na wajanja msolve madude na usilale habari za madem cjui na nn weka chonjo. jitahd usolve quiz.
cjui kama ushaenda lakn but naamin hata sasa unaweza