real hustler
Senior Member
- Mar 12, 2021
- 155
- 244
Weka tuHabari yako mwana jf
Baba yangu alibahatika kuwa na mali nyingi sana na kwetu tumezaliwa wachache watu wa nne tu,
Sasa mzee ili kuondoka utata ameamua kugawa mali ingali yupo hai
Mimi nimepata mgao wa nyumba ya kuishi pamoja na kiasi kama million 50
Kwa upane wa elimu nina degree ya agribusiness kutokea SUA
Pia binafsi sina background yoyote ya kufanya biashara maana mda mwingi nimetumia shuleni
Niliwaza hii pesa niiweke UTT baada ya kuisoma na kuifatilia Sana lakini changamoto inakuja nahofia usalama wa pesa yangu huko UTT hasa hasa kwenye nchi yetu hii ambayo kiongozi anaweza amua chochote mda wowote.
Naombeni ushauri je naweza anzia wapi katika uwekezaji.
Na je UTT ni salama mathalani kwa miaka 30 ijayo. Umri wangu ni miaka 25
Daaah ila Kuna watu mpo good sana.
Kweli kabisa mkuu, mpaka unamuonea wivu sisi wengine ht wazazi wakifa huna cha kurithi 😔 ok sio mbaya ngoja tupambane wnyw tuuDaaah ila Kuna watu mpo good sana.
Ndio upambane ili wanao wapate cha kurithi sasa 😹Kweli kabisa mkuu, mpaka unamuonea wivu sisi wengine ht wazazi wakifa huna cha kurithi 😔 ok sio mbaya ngoja tupambane wnyw tuu
Dah wasinitegemee aisee kama hapa tuu bado nakaa kwa shangazi na nna 28 sasa, sijui huko mbeleni itakuaje 😔Ndio upambane ili wanao wapate cha kurithi sasa 😹
Usirogwe utt it's better uweke fixed account kama 40mil then 10mil nenda tabora miezi ya kwanzia mwez wa 3 mpka 5 ununue tumbaku ikiwa tayr imekaushwa ipo kwenye vishada nunua kwa kupoint then uiuze kwenye masoko mda wa masoko ukifika ni uhakika haina ugai gai unapiga pesa zako unatuliaHabari yako mwana jf
Baba yangu alibahatika kuwa na mali nyingi sana na kwetu tumezaliwa wachache watu wa nne tu,
Sasa mzee ili kuondoka utata ameamua kugawa mali ingali yupo hai Mimi nimepata mgao wa nyumba ya kuishi pamoja na kiasi kama million 50
Kwa upane wa elimu nina degree ya agribusiness kutokea SUA
Pia binafsi sina background yoyote ya kufanya biashara maana mda mwingi nimetumia shuleni
Niliwaza hii pesa niiweke UTT baada ya kuisoma na kuifatilia Sana lakini changamoto inakuja nahofia usalama wa pesa yangu huko UTT hasa hasa kwenye nchi yetu hii ambayo kiongozi anaweza amua chochote mda wowote.
Naombeni ushauri je naweza anzia wapi katika uwekezaji.
Na je UTT ni salama mathalani kwa miaka 30 ijayo. Umri wangu ni miaka 25.
Pia ningeomba Kwa wenye kujua zaidi ni mkoa gani au eneo gani Tanzania ni zuri Kwa mtu mwenye mtaji kuanza biashara na biashara ipi inaweza kuwa na rejesho zuri.
Asanteni
Sasa yule baby mama wako child support anapata vipi?? 😹😹😹Dah wasinitegemee aisee kama hapa tuu bado nakaa kwa shangazi na nna 28 sasa, sijui huko mbeleni itakuaje 😔
SanaDaaah ila Kuna watu mpo good sana.
Hii biashara ipo siku nitaifanya.Usirogwe utt it's better uweke fixed account kama 40mil then 10mil nenda tabora miezi ya kwanzia mwez wa 3 mpka 5 ununue tumbaku ikiwa tayr imekaushwa ipo kwenye vishada nunua kwa kupoint then uiuze kwenye masoko mda wa masoko ukifika ni uhakika haina ugai gai unapiga pesa zako unatulia
Dah baby mama yupi tena huyo jamaan, wakat mm ht sijawahi kufanya sex 😔Sasa yule baby mama wako child support anapata vipi?? 😹😹😹
Kwa nini UTT sio nzuri Kwa maono yako ili niweze pembua mawazoUsirogwe utt it's better uweke fixed account kama 40mil then 10mil nenda tabora miezi ya kwanzia mwez wa 3 mpka 5 ununue tumbaku ikiwa tayr imekaushwa ipo kwenye vishada nunua kwa kupoint then uiuze kwenye masoko mda wa masoko ukifika ni uhakika haina ugai gai unapiga pesa zako unatulia
Ukiwa hata na 5m unaifanyaHii biashara ipo siku nitaifanya.