Msaada wa kimawazo

ukitaka kusikiliza mawazo ya kila mtu una weza ukatoka nje ya ya reli..mana kuna walio fanikiwa katika biashara hiyo na kuna walio feli ktk biashara hiyo na kila mmoja ana njia yake iliyo mfanya afike hatua hiyo.. mfanyabiashara n mtu unaye takiwa kuwa tyr kwa matokeo yote mawili.. wewe anza biashara ukishindwa au ukifanikiwa n sehemu ya kujifunza
 
Asante kwa ushauri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…