Msaada wa kimawazo tafadharini........!

Msaada wa kimawazo tafadharini........!

Pure Marxist

New Member
Joined
Nov 10, 2013
Posts
3
Reaction score
0
Kuna rafiki yangu ana miaka 28 sasa, na yuko mwaka wa pili katika chuo flan hapa nchn, katka maisha yake hajawah kukutana na mschana ambaye anawez kumuoa, kwa sasa ana miez 6 yuko na mahusiano na mschana flan yuko form 3, ana miaka 20,mschana mwenyewe yuko conscious na masomo na yuko vzr ingawa anampenda sana jamaa! Tatzo ni moja jamaa anataka kuoa baada ya miaka 3, ambapo mschana atakuwa bado anasoma japo analiunga mkono, Je, kuna madhara yoyote atayapata jamaa kama akifunga ndoa na bnt amabaye bado yuko shule(chuo), wakati uzoef unaonesha mwisho wake kuwa mbaya(kusalitiwa)?, au amstishie karbu f4, na amuoe kabla hajamalza masomo?, AU Alazimishe kumuacha ilihal anampenda? Maana anampenda kweli na ana kila sifa japo bado yuko mbali kimasomo! Anaombeni ushauri wa kina maana yuko much more 'CONFUSED'
 
Amuache mtoto wa watu asome stress zake za kuoa zisimfanye amuachishe mtoto shule kama nampenda amsubiri tu angalau afike form 6 ndo waendelee na mambo mengine ya kuoana
 
Miaka 20 form 3!!!!!! Au alipata matatizo hapo katikati? Anyway huyo jamaa amwache binti apige shule. Mwambie atafute mwingine mbona wapo wengi tu!
 
Form 3 na mme juu....Hivi wanaume mbona tuu wakatili kiasi hili??? Mwambie huyo jamaa yako stress zake akazimalizie kwa wakubwa wenzie amwache mwana wa watu ajenge maisha yake. Plz fikisha huu ujumbe na kesho unitumie jibu...Nimeshakasirika naondoka jukwaani mara.
 
broo we ujui mpaka leo ndoa au uchumba nimatokeo yamaisha uliyo nayo kazana nachuo a cha kabinti kasome
 
hivi tulivyobuma huku mtaani hatuoni anamwona huyo wa form 3.... aisee jamaa yako poor planing..
 
Back
Top Bottom