Msaada wa kimawazo na ushauri

nyangocho

New Member
Joined
Dec 24, 2017
Posts
1
Reaction score
0
Nlikuwa mwalimu kwa miaka takrbn miaka minne serikalini nikaamua kukimbilia kwenye majeshi na nikafanya mafunzo kwa miaka miwili jeshi la kujenga taifa lengo ni kuwa zikitokea nafasi jeahi la wananchi niweze kujiunga lakini wakati binaadamu anapanga mungu nae anayake anapanga, nlibahtika kumaliza mafunzo lakn mpaka mkataba unaisha skubahtika kuajiliwa,kumbuka wakt huo teyari nshatolewa kwenye orodha ya malipo kwa watumishi huu ni mwaka wa pili nmehangaika bila mafanikio
1.Je naweza kurudishwa kazn?
2.njia gani nizitumie kama jibu la kwanza ni ndio
 
Vuta sbra wataalamu na watu ambao wanawza kusaidia waje ,ila pole sana maana ww ni kamanda waukweli sana
 
Hiki kisa kimemsibu pia rafiki yangu, yeye aliandika barua ya kwenda kusoma bt kabla haijajibiwa akaondoka, kamaliza degree kurudi kazini hamna chake ule uhakiki ukapita nae. Yuko nje system mpk sasa anaambiwa akitaka asubiri ajira mpya zitangazwe.
 
Sikukatishi tamaa ila kwa hii awamu wakikubali kukupokea basi unabahati sana, otherwise uombe upya.
 
Hiki kisa kimemsibu pia rafiki yangu, yeye aliandika barua ya kwenda kusoma bt kabla haijajibiwa akaondoka, kamaliza degree kurudi kazini hamna chake ule uhakiki ukapita nae. Yuko nje system mpk sasa anaambiwa akitaka asubiri ajira mpya zitangazwe.
Upo sahihi brother wengi wanakesi zanamna hii hta mm wapo nao wafahmu
 
Kama ulikuwa mwalimu wa Sekondari, tafuta shule ya private uendelee kufundisha wakati unasoma ramani serikalini
na kama ulikuwa mwalimu wa shule ya msingi omba pia nafasi kwenye primary za private as long as upo competence. Hata ukipangiwa madarasa ya chini wewe piga kazi huku ukisoma ramani/kujiendeleza.
Pia kama ulikuwa mwalimu wa sekondary, unaweza kuomba kwenye Primary za English medium, mshiko ni uleule pengine hata juu kuliko sekondary kutegemeana na shule na competence
 
Kufeli kupanga ni kupanga kufeli raisi wa sasa sio wa kipindi unaacha ualimu
 
Kufeli kupanga ni kupanga kufeli raisi wa sasa sio wa kipindi unaacha ualimu
Yah baba wantofautiana hyu baba hana masihara na mtoto hasa mtoto mwenye kosa ,mtoto anae pendwa ni mwenye tabia nzuri na darasan anaakili , huyu baba kama marekani vile no permanent enemy no prmnt friend....
 
Chukua kadi chadema tukana ze green halafu ukishakuwa maarufu unaenda ze green kuna fursa kule Kama unaweza kutumia mdomo wako vizuri.wazungu wanasema if you are good at kissing a... s.
 
Kamanda kuwa na subira tu kuna jamaa yangu nhc alifanikiwa kurudi lakn simpati hewani sbr watkuja wajuvi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…