DAN LOKOMOTIVE
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,536
- 1,997
Jamani wanajamvi kuna jamaa alinialika kwenye group niseme la maombi amenialika siku nyingi niende leo nikaamua kwenda katika mambo aliyonihubiiria ni kama yafuatayo:
1.Ulazimishwaji wa kuwa wakristo wakipagani.
Jamaa amenieleza kwamba kulingana na ufunuo kwamba Marekani wakiungana na kanisa Catholic siku wataungana na kulazimisha kila mtu dunia nzima awe mkristo na kusali jumapili watakao kataa wata fungwa magerezani na kuteswa.
2.UN na mashirika yote ni mpango wa kanisa la kirumi(Katoliki) kulazimisha watu kusali jumaplil.
Jamaa kaniambia kwamba haya mashirika yote ya UN ni agent wa shetani na marekani pamoja na kanisa la kirumi kwamba ni kuivuruga dunia.
Ninapohitaji kuelewa ni hapa maana nilimuuliza akanipa kitabu ambacho kinaitwa Pambano kuu point ambazo zinanitatiza.
1.Itawezekana vipi kwa Pope(papa) kuweza ku wabadilisha dini watu kwa mfano Waislam huku uarabuni wajenge makanisa afu wawe wakristo halafu wawabatize ubatizo wa kipagani.?
2.Kama wamarekani ndio wakala wa shetani mbona hawa katika dunia ndio wanakua wa kwanza kulisapoti taifa la israeli katika kupigania ardhi yao takatifu?
3.Katika marekani hii ya leo ambayo watu wana uhuru mpaka kuchagua jinsia je itakuwaje Papa awalzimishe watu amabao hawana dini,Waislam kuwa wana abudu shetani.
4.Katika dunia ya leo kuna mataifa makubwa kama China,Urusi na Falme za kiarabu zinakua kwa kasi hizi kwenye ufunuo zinazungumziwaje.
5.Moja kati dini zinazokua kwa kasi duniani ni Uislam sasa nchi zao zitakubaliana kuwatesa wananchi wao kama wasipo mtii PAPA.
Mwenye mawazo