moyafricatz JF-Expert Member Joined Nov 27, 2015 Posts 2,905 Reaction score 4,940 Jul 11, 2020 #1 Wakuu,nimenunua jiko miezi 6 iliyopita ila sikuweza kulitumia sababu ya safari likawa ndani tu. Sasa juzi nachomeka mpira wa gesi ,mara kile kideude cha aluminium nyuma ya jiko kikavunjika na kubakisha ka bomba ka kuingiza gesi ndani ya jiko. Nimejaribu kuunganisha mpira wa gesi na hako kabomba nimeshindwa. Je, kuna mtu anajua wapi naweza pata hiki kikadude kilichovunjika nikakirudishia kwenye jiko ili niweze kuunganisha na mpira wa gesi nipike?
Wakuu,nimenunua jiko miezi 6 iliyopita ila sikuweza kulitumia sababu ya safari likawa ndani tu. Sasa juzi nachomeka mpira wa gesi ,mara kile kideude cha aluminium nyuma ya jiko kikavunjika na kubakisha ka bomba ka kuingiza gesi ndani ya jiko. Nimejaribu kuunganisha mpira wa gesi na hako kabomba nimeshindwa. Je, kuna mtu anajua wapi naweza pata hiki kikadude kilichovunjika nikakirudishia kwenye jiko ili niweze kuunganisha na mpira wa gesi nipike?
M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 10,225 Reaction score 13,930 Jul 11, 2020 #2 Upo mkoa gani nikuunganishe na mafundi wanaofanya hizo kazi za majiko wanaweza kukitafuta wakakutengenezea jiko lako
Upo mkoa gani nikuunganishe na mafundi wanaofanya hizo kazi za majiko wanaweza kukitafuta wakakutengenezea jiko lako
moyafricatz JF-Expert Member Joined Nov 27, 2015 Posts 2,905 Reaction score 4,940 Jul 11, 2020 Thread starter #3 mbu wa dengue said: Upo mkoa gani nikuunganishe na mafundi wanaofanya hizo kazi za majiko wanaweza kukitafuta wakakutengenezea jiko lako Click to expand... Niko DSM.....banana hapa.
mbu wa dengue said: Upo mkoa gani nikuunganishe na mafundi wanaofanya hizo kazi za majiko wanaweza kukitafuta wakakutengenezea jiko lako Click to expand... Niko DSM.....banana hapa.
M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 10,225 Reaction score 13,930 Jul 11, 2020 #4 Kwa Dar siwafahamu ila ingia instagram kisha usearch "Fundi majiko ya gesi" utawaona wengi wengi na namba zao za simu wameweka. moyafricatz said: Niko dsm.....banana hapa. Click to expand...
Kwa Dar siwafahamu ila ingia instagram kisha usearch "Fundi majiko ya gesi" utawaona wengi wengi na namba zao za simu wameweka. moyafricatz said: Niko dsm.....banana hapa. Click to expand...
M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 10,225 Reaction score 13,930 Jul 12, 2020 #5 moyafricatz said: Nimeshampata...kaja kashafix..linapiga mzigo fresh sasa hivi Click to expand... Yes mkuu hivyo ndio jinsi ya kujiongeza linapotokea tatizo hutakiwi kuumiza kichwa unawaachia wenye kazi zao waumize kichwa. Yaani wakishaona pesa hata kama hicho kifaa kinapatikana katikati ya bahari wataenda kukuchukulia.
moyafricatz said: Nimeshampata...kaja kashafix..linapiga mzigo fresh sasa hivi Click to expand... Yes mkuu hivyo ndio jinsi ya kujiongeza linapotokea tatizo hutakiwi kuumiza kichwa unawaachia wenye kazi zao waumize kichwa. Yaani wakishaona pesa hata kama hicho kifaa kinapatikana katikati ya bahari wataenda kukuchukulia.
R Raia Mtata JF-Expert Member Joined Feb 4, 2017 Posts 326 Reaction score 616 Sep 17, 2020 #6 Jiko linapiga mzigo umefanyaje? Mie imetokea kama hivyo mwezi wa 4 sasa sijarekebisha, unaweza kuweka mpira hapo direct?
Jiko linapiga mzigo umefanyaje? Mie imetokea kama hivyo mwezi wa 4 sasa sijarekebisha, unaweza kuweka mpira hapo direct?