Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,967
Ina maana Geita hizo huduma hakuna?Haya mambo ya Kusini kulee humu hawatakusaidia.
If you know you know.
Nyingi sanaIna maana Geita hizo huduma hakuna?
Kama ni Geita mjini my friend ndo kwenyewe utakuja kuleta mrejesho
Wakuu nina safari ya kwenda Geita hii weekend, naomba msaada wa kibinadamu nikiwa huko kwa wiki 2.
Wale wenyeji wa Geita, naomba kuelekezwa maeneo naweza kupata huduma takatifu au maeneo ambayo watoa huduma wanapatikana kwa wingi maana sina hakika kama tinder au tagged zinafanya kazi huko. Binafsi sio mpenzi sana wa hayo mambo ila siwezi kukaa wiki nzima bila kupata baraka, naugua kabisa karibu na kulazwa. Nitashukuru sana kwa muongozo wenu wakuu.
Natanguliza shukrani.
Si unajua siku hizi hata wachekeshaji wanadhani kutukana watu ndio kuchekesha.Hii ni kufuru jaman, mnapoamua kufanya dhambi kwa ajili ya udhaifu wenu, fanyeni lakini msikufuru, huduma Takatifu?
Kufuru ndio kitu gani? Dhambi ndio nini?Hii ni kufuru jaman, mnapoamua kufanya dhambi kwa ajili ya udhaifu wenu, fanyeni lakini msikufuru, huduma Takatifu?
mwambie aiseeh!! Geita town zinakujaga Pini za maana..ataleta mrejeshoKama ni Geita mjini my friend ndo kwenyewe utakuja kuleta mrejesho
Nitakuwepo desire park kesho babaako tukae humomwambie aiseeh!! Geita town zinakujaga Pini za maana..ataleta mrejesho
Ni story tu Geita iko vizuri maradhi kila mahala yapo, uzuri wa Geita mademu wazuri wanafahamika mji mzima.Hapo ni sawa na Gulioni kwani ni mkusanyiko toka Mwanza, Bukoba, Kahama, Nzega, Ngara, Kigoma,na mwisho funga kazi ni kutoka Rwanda na Congo wengi wakilenga wana wa GGM, kumbuka zamani tuliIshia na mafua tu lakini siku hizi kuna kideri kuwa mwangalifu.