Habari wana JF
Mimi ni msichana, umri miaka 22, elimu kidato cha nne pia nimepitia mafnzo ya customer care and service ngazi ya cheti.
Ninaomba msaada wa kupata ajira kwa mujibu wa taaluma yangu lakini naweza pia kufanya kazi hata kwenye supermarket, ofisini kama msaidizi wa ofisi, petrol station na kwenye maduka mbalimbali.
Ninaishi Tabata.
Natanguliza shukrani!