Msaada wa kazi

Msaada wa kazi

Lucky A

Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Elimu ni kidato cha 6,alikuwa akifanya bachelor nchi jiran ila kunamatatizo yamejitokeza akashindwa kuafford expences,ndo kwanza alikuwa anamalizia mwaka wa kwanza.Anatafuta kazi itayomuwezesha kukusanya pesa ya kujiendeleza,ni mtaalaam wa compyuter na anaweza ongea both American na British english.Anaweza fanya kazi na mtu wa aina yeyote,pia hata kama hana professional ya ualim anaweza fundisha wanafunzi wakaelewa kwa masomo ya arts o.level na Advance pia kwa masomo ya Geography,history na Economics.
 
Back
Top Bottom