Lantino melanto Member Jun 5, 2022 78 115 Jun 6, 2022 #1 Naombeni msaada tafadhali kwa mtu yeyote ambaye anafahamu viwanda vinavyo patikana Moro au Pwani. Pia naomba ikiwezekana mnisaidie na hatua za kufuata ili niweze kupata kazi . Elimu yangu ni form 6. Msaada wenu ndio kufanikiwa kwangu asanteni Sana.
Naombeni msaada tafadhali kwa mtu yeyote ambaye anafahamu viwanda vinavyo patikana Moro au Pwani. Pia naomba ikiwezekana mnisaidie na hatua za kufuata ili niweze kupata kazi . Elimu yangu ni form 6. Msaada wenu ndio kufanikiwa kwangu asanteni Sana.