Habari zenu wakuu!
Mimi ni kijana wa kiume nina bachelor degree of science in food science and technology nimezunguka sehemu mbalimbali kuomba kazi lakini mpaka sasa sijafanikiwa kwa lolote lile na maisha yanazidi kuwa magumu kwangu. Kwa hiyo naombeni msaada wenu jamani kwa mwenye kazi yoyote iliyo halali hata ya kuuza duka la vyakula nipo tayari maana hapa nilipo nazidi kudhalilika na maisha nipo njia panda. Inafika mahali hata mia inanishinda kwa kweli, yaani mtaani ni zaidi kiama. Ukisema kujiajiri changamoto kubwa inakuwa mtaji yaani ni shida tupu. Nipo Dar es salaam, Namba zangu 0758 106 501 ninapatikana muda wowote. Narudia naombeni msaada wenu jamani yeyote yule atakaeguswa naamini humu wapo wenye company pamoja na kazi mbalimbali. Nipo serious kwa hilo.